We Gefu kwanza ubuheri ? Mbona umekuja na speed hivyo? si ungeaanza na wahindi au waarabu au hata wachina. Mara moja wadhunghu!! mmhh Sawa mkuu basi ujaaliwe Mcanada bomba!!
Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!!
Kiukweli wazungu wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda uharibu, hapo hakutakalika !!!!!
Mzungu mwenyewe awe kutoka kwa Obama, uingereza na vinchi vingine, ikiwa pamoja na wale wanaoishi bongo nitawafikiria baadae sana.
Suala la ngozi nyeupe sijui ni wabaridi, tutawasha hita huko mtoni mambo yatakwenda freshhh.
Kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
alete cv nimuasesi kwanza.:welcome:
cc Heaven on earth
Check na Natalia
Pole sana, sikushauri hata kidogo! U are lost with that silly wish! Labda km unataka kuolewa, jaribu kutoka tz uende amerika, europe ama OZ utamielewa
Mimi nimeolewa na mzungu huyo anataka kuoa.Ndoa ni ndoa struggle ni hizo hizo wanaume wa kiafrica mmefulia .African men hata tip restaurant tabu kutoa ,mikono yenu migumu inachibua mwili,hampaki deodorant ,mnapaka Vaseline sio lotion ,you can't swim that much ,no table manners mnaongea uku mnatafuna,mwanamke akiwa Kama porno Mbele yenu mnaita malaya,akimeza oh nani kakufundisha,hamna suruali za njano ,pink ,mistari,na mikanda ya rangi Utaumbuka .Tunatembea bila nguo na kulala bila nguo .Goodluck Lazima uwe na Pesa mnooooooooo
Hawana jipya kwani alichonacho mwafrika na yy ndio hicho hicho anacho cha zaidi rangi tyuuuuuu mzaazi