FundiNgoma
Senior Member
- Dec 26, 2019
- 138
- 283
Nipo mkoani namla mkeo.Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo vinakataa .
Ajabu sasa kila mwanamke ninaepanga kutoka nae nikimlinganisha na wife naona kabisa ni kama namdhalilisha hivi na kila nikipanga mission inafeli,wakuu natamani nisishawishike kabisa yani nisijihusishe na mapenzi nje ya mke wangu lakini kimbembe vishawishi vingi kwa nature ya mahali pa majukumu yangu,msaada jamani nafanyaje niwe mmoja ya wanaume waaminifu kwenye ndoa zao....
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Acha kuuteza uboo,kwani unafikiri yeye hagongwi huko Aliko,nature ina nguvu Sana,vile.wewe unajsikia ashamed na yeye vile anajuta toka asubuhi,jitahiti update wa kumla bila attachment,life is too short,kula bila kujipa masharti,usifungamana na mtu,gonga kitu unamlipa na mwambie from now.on kila mtu apite kule,ili wakuzoee kwa namna unavyo watreate.Usijenge Kambi,waambie nipe nakulipa unasepa,sitaki hata sms after the dael,ukiona anazingua tengeneza simple contract.Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo vinakataa .
Ajabu sasa kila mwanamke ninaepanga kutoka nae nikimlinganisha na wife naona kabisa ni kama namdhalilisha hivi na kila nikipanga mission inafeli,wakuu natamani nisishawishike kabisa yani nisijihusishe na mapenzi nje ya mke wangu lakini kimbembe vishawishi vingi kwa nature ya mahali pa majukumu yangu,msaada jamani nafanyaje niwe mmoja ya wanaume waaminifu kwenye ndoa zao....
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Acha kuuteza uboo,kwani unafikiri yeye hagongwi huko Aliko,nature ina nguvu Sana,vile.wewe unajsikia ashamed na yeye vile anajuta toka asubuhi,jitahiti update wa kumla bila attachment,life is too short,kula bila kujipa masharti,usifungamana na mtu,gonga kitu unamlipa na mwambie from now.on kila mtu apite kule,ili wakuzoee kwa namna unavyo watreate.Usijenge Kambi,waambie nipe nakulipa unasepa,sitaki hata sms after the dael,ukiona anazingua tengeneza simple contract.
Jogoo akienda jirani,jogoo Mwingine anachukua nafasi
Na mimi nimo au andika fear men except 92Fear Men
Mwendo wa moto tu moto tu mpaka urudi kundini π€£π€£
Hamna cha siri ndo ukweli huo angekuwa mzuri ningetolea wapi nguvu ya kumtukana ππAcha bhana watu mnasiri kumbe
πππKataa ndoa. We nani alikuambia uoe ndo maana una wasi wasi kama mwizi
Kucheat sio dili,baki njia kuu...Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo vinakataa .