sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
1. NMB inasitisha mkataba wake wa "vijisenti kadhaa" katika timu ya Azam FC. Wanainunua Ndanda FC, wanaibadili na kuwa NMB FC na kuwekeza mabilion.. Hii inawatangaza vyema, hadi kuwa the leading bank in EAC.
2. Bilionea wa Kihaya Rugemalira anaanzisha timu, anawekeza mara 5 ya hela alizompa prof. tibaijuka [zaidi 9 Bilion].. Hii inamtangaza vyema na anapata madili ya kuzalisha umeme nchi mbali mbali..
3. Serikali kupitia makampuni yake inagutuka na kuanzisha timu za soka, ambazo zinahamasisha raia kuhusu mambo mbali mbali.. Mf. mwaka 2015 akisoma bajeti, Mwigulu anadai mapato yameongezeka mara 4. Hii ni baada ya TRA FC kuwahamasisha raia..
Nadhani sasa imefika mda katika ligi yetu tuwe na timu kama;
1. Mkombozi Bank FC
2. TRA FC
3. VIP Engineering SC
4. NMB FC
5. Tatu Bomba FC
6. Konyagi SC [ikianzishwa hii nahama Simba Sc..hehe] n.k
Hizi timu zitaleta changamoto kubwa katika ligi yetu tofauti na hii mitimu ya majeshi.
NB: Hongera Azam FC, Kagera / Mtibwa Sugar na Mwadui FC kwa mnayoyafanya.