Mbona inapatikana madukani C9 laki3 na elf40Wadau
Kama kuna mtu anauza simu aina ya Tecno C 8 au C 9 au toleo lolote zuri naomba tuwasiliane PM. Simu iwe katika hali nzuri (isiwe imechoka).
Asanteni.
Lete 250 kwa c8.Wadau
Kama kuna mtu anauza simu aina ya Tecno C 8 au C 9 au toleo lolote zuri naomba tuwasiliane PM. Simu iwe katika hali nzuri (isiwe imechoka).
Mimi niko Dar
Asanteni.
Mim ninayo TECNO P 5 mkuu kama wahitaji na yenyew naomba kujuaWadau
Kama kuna mtu anauza simu aina ya Tecno C 8 au C 9 au toleo lolote zuri naomba tuwasiliane PM. Simu iwe katika hali nzuri (isiwe imechoka).
Mimi niko Dar
Asanteni.

mimi nina Techo C8 iko katika hari nzuri sana bei 200,000 napatikana 06571455555, nipigie tuongee zaidiWadau