Hii comment Ameipitia kweli Nyaningabu?Ubaya wa ukada ni unaona udikteta asubuhi ila jioni unaona huohuo udikiteka kuwa umahiri.
Ubaya wake ni pale ndugu yako au maslahi yako yakiguswa na kwa unafiki wa umri unampinga.
Ila akikamatwa fulani,kupigwa n.k ambaye hali chakula nawe,basi mdomo hutoa sifa tu kwa dikteta.
UwiiiiYametimiaa
HatareeeeNa alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
YametimiaNa alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Sasa umefaidika nini?Nilikoment huu Uzi kuwa nataka afe, mods wakani ban, amekufa Sasa, mods kamfufueni wajinga wakubwa
Mtesi kafaSasa umefaidika nini?
Ova
Duh! Woga tupa kulee !!!!😇Nilikoment huu Uzi kuwa nataka afe, mods wakani ban, amekufa Sasa, mods kamfufueni wajinga wakubwa
Na akufwe kbs
Nilikoment huu Uzi kuwa nataka afe, mods wakani ban, amekufa Sasa, mods kamfufueni wajinga wakubwa
Duuuuh aiseee,anzisha kanisa MKUU...UTAPIGA PESA SANA,Na alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Naomba kuelekezwa lilipo kanisa lakoNa alegee huyu kabisa baba hatofikisha mwaka kesho 2021 mwezi wa 6 bila kufa kabisa huu wa October uchaguzi aisee bali ni uchafuzi
Sauti ya wengi ni sauti ya MunguKm wewe Mungu upangalo linakuwa bac atashindwa