Jf members naomba nitumie fursa hii kuwaomba aidia zenu kuhusu uwamuzi wangu wa kutaka kugombea uraisi wa tanzania.>ndugu zangu uwezo ninao.>nimwachama wa CCM na pia ni mwachama wa CHADEMA >nimewahi kuwa mkutubi wa shule,Nimewahi kuwa kiongozi wa fema,kwasasa ni Waziri mkuu wa familia na ni mshauri wa watoto ktk mambo ya uchumi.jamani Jf naomba unapo changia niambie chama kinacho nifaa,naushauri mwingine.