...Huu uzushi sasa....
...Alichosema Nape ni kuwa CCM haijahusika na mpango wowote wakuwashambulia wabunge hao, kwani hiyo haijawahi kuwa jadi ya chama chake, haitakuwa sasa na haiwezi ikawa in the future, akaongeza kuwa Waharifu waliowashambulia Wabunge hao wanaweza wakawa ni wanachama wa chama chochote, CCM ikiwemo; na kisha kulitaka jeshi la polisi liwasake, liwakamate na kisha hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao bila kujali ni wanachama wa chama gani...
...Kisha akamalizia kwa kuwatakia wabunge hao pole na kuwatakia wapone mapema ili waendelee na shughuli zao za kawaida, hivi kuna tatizo gani kwa kauli yake hii? kaazi kwelikweli...