Nataka Mtoto

Dulley

Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
29
Reaction score
0
Kama ulikuwa na uhusiano na mwanamke kwa lengo la kuzaa naye watoto,lkn Mwaka unakatika huoni hata dalili ya ujauzito na umegundua kuwa alitoa ujauzito wa mwanaume mwingine kabla hujaanza naye wewe utafanyaje na wewe uko fiti?
 
^^
Teh teh unasema? Ametoa mimba ya mwanaume mwingine at the same time uko nae mwaka halafu uko fiti?
The home of great thinkers
^^
 
Wewe umejuaje kuwa upo fit?
 
Eti upo fit......!kwa macho ya kawaida aliyefit ni huyo aliyewahi toa mimba.
Kapime na unayetaka kuzaa nae ili ujue....
 
Mmmh kachekini nyote huwezi jua kama uko fit mpaka muonane na Daktari, mwenzio alitoa so yuko fit lakini pia yawezekana kama atakuwa ameharibu uzazi wake kama ametumia njia sio sahihi.

Wewe ndio matatizo makubwa...ikiwa huna hata wa kusingiziwa!
 
Kama ulikuwa na uhusiano na mwanamke kwa lengo la kuzaa naye watoto,lkn Mwaka unakatika huoni hata dalili ya ujauzito na umegundua kuwa alitoa ujauzito wa mwanaume mwingine kabla hujaanza naye wewe utafanyaje na wewe uko fiti?
sijui nitafanyaje kwa kweli
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…