Nataka mchumba ila sijatahiriwa

Mai-Ndombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
542
Reaction score
836
Mmii ni kijana,nipo Simiyu nahitaji mchumba msichana wa umri wa miaka 22-28,aliye tayari ani pm.
 
Katahiri kwanza ukishapona rudi hapa, govi noma utakosa wachumba hivi hivi. Kila la heri.
 
Katahiri mbona cku hzi bure unaogopa nini ni operation ndogo sana
 
Nenda Ulaya ambako hawatahiri utawapata kama unanawa, but huku Tz wanakotahiri sijui!
 
NENDA ZAMBIA hawatairi utabeba tu mwaya, vinginevyo mbeya, Iringa, Sumbawanga nadi Njombe aaaaah kama unanawa unajichukulia mke!!!!! Sema hofu ni lile tuta ukishalikunja wakati wa kumhudumia your wi!! atavumilia kweli manake linakuwa bonge la tuta!!!!
 
mi ni kijana,nipo simiyu,nahitaji mchumba msichana wa umri wa miaka 22-28,aliye tayari ani pm

Chukua wa huko huko maana wanawake wa huko wanawafurahia kuwaona mna viungo vyote kamili hamjazika vingine. Kwetu hupati mtu utahama mji maana wakikujua watakupa jina la "mzima"
 
Nenda kwa Wanyakyusa huko nasikia wao ruksaa
 

Tuta kama la Bagamoyo road eneo la lugalo Dsm. Corrola lazima iguse.
 
ungeweka na picha ya kiungo ambacho hujatahiriwa
 
Ni rahisi kuambukiza/zwa magonjwa yanayotokana na zinaa ukiwa hujatahiriwa. Dogo kakatw hilo dude unless sema km umelata thread kufurahisha umma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…