Usipoteze muda.
Hata huku Zanzibar ambapo bei ni rahisi ya zamani hupati kwa bei hiyo.
Zichange kwanza,halafu ujue kubaki nahela ya Reseve,ikiharibika hii huwa hakuna msalie.Kama ni hela za kuungaunga itakutia umaskini vile vile
Mkuu Verosa atapata,maana Verosa ni sawa na bei ya Suzuki Carry au Kirukuu
Verossa=Kirukuu
Kasoro moja tu hapo kwamba Verossa inamacho ya kike na kirukuu ya Kiume(macho means Taa)