Nataka kwenda Nchini Yemen

Ah Mwambie aende tu Watu wapungue Bongo... ameula huyo mkuu... Hongereni...

Mwambie aje Pemba nimuuzie Jini la Kumlinda
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Halafu uwe na adabu utaniambiaje babako kuwa nimeongopa

Babako mkubwa ambaye ni kaka yangu ilimlazimu kusitisha masomo yake amekuja kumalizia hapa nyumbani na walitolewa yemen kwa msaada wa serikali ya suudia baada ya vita kupamba moto
Hajazuiwa kwenda yemen muhim ajiandae na yote

Na kama huyu muulizaji atahitaji nimuunganishe AniPM atayajua mengi kuhusu yemen
 
Habari zenu waungwana,nina mdogo wangu anatarajia kwenda kimasomo nchini Yemen,Napenda kufahamu mazingira ya huko Yemen,je hali ya kiusalama ikoje
Kiusalama hali ni tete ktk baadhi ya maeneo.Yeye anaelekea sehemu gani ya Yemeni? Hali ya kiuchumi vile vile ni ngumu sana, sasa asije akawa na wazo kwamba ataenda kusoma na kufanya kazi ili ajikimu kwa mahitaji yake muhimu.Ila kama ni nafasi ya kudhaminiwa kwa kila kitu na kama ni kwenye maeneo ambayo hayajakumbwa na machafuko basi aombe mungu na aende kwa lengo la kutafuta elimu tu.
 
Sana'a airpot imefungwa kitambo ila machafuko yanategemea kuisha soon though bado bado, baadhi ya miji kama mukalla nk ipo shwari tu.

Unaweza kuanza la 1 mpaka chuo kikuu ukamaliza hujui hata kingereza cha kuandika, kuongea wala cha kutafsiri tu sentensi kupata maana. Kila kitu kiarabu mwanzo mwisho.
Elimu dunia yetu Tz ni nzuri sana labda kwao Elimu ya dini ipo juu sana

Kwa sasa mambo mengi yamekwama wakisubiri usafiri wa anga ufunguliwe.

Siku akirudi aje na shemeji yetu si unajua wanawake wa kiyemen wazuri sana kwa sura, maumbo "km wasomali" na tabia.
 
Mashkurra kunifundisha adabu.. wee umesoma Madrasa!!!?
 
Ajifunze kucheza mpira kwa kanzu, nilishangaa sana jinsi wanavyokimbia
 
Hamna ubaguzi uko mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…