Nataka kwenda Brunei, ubalozi wake Dar uko wapi?

Huko kwa kila mtu tajiri utatoboa kweli ndugu, maisha si yatakuwa gharama sana?
 
Huo so ni mji wa kwenye Biblia huo?
 
Nimepata Demu huko, sasa anataka kunitumia Barua ya mwaliko kwa ajili ya kupata Visa sasa ndio sijui Embassy yake iko wapi.
 
Niko Serious wadau ni demu wangu tangu mwaka 2014 mwisho na yeye ameshawai kuja Hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…