Nikiwa kama mwanafunzi nayetaka kuzikimbia adha za ajira mapema nataka kuanza kudunduliza kwenye mifuko ya jamii mapema kidogo nilichonacho. Funds kama LAPF, NSSF,PSPF na other bila kusahau UTT na issue za vipande. Nahitaj ushaur kuhusu schemes zao, returns na security level za hisa asanteni..