Sumu Boy JF-Expert Member Feb 16, 2017 205 215 Sep 1, 2018 #1 Kwema wadau! Nina kama M 1 nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya ila sina uzoefu sana kwenye hiyo mambo kama kuna muelewa anayefahamu kilimo hicho anipe mwanga nisije ingia choo cha kike. Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema wadau! Nina kama M 1 nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya ila sina uzoefu sana kwenye hiyo mambo kama kuna muelewa anayefahamu kilimo hicho anipe mwanga nisije ingia choo cha kike. Sent using Jamii Forums mobile app