Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
Zion Daughter hii line haijawahi kuwa offline hata kwa lisaa limoja, siku zote iko ON. Mimi nafanya kazi kwenye hiyo Kampuni, na kampuni huwa ina utaratibu wa kutuwekea salio la tigo kila mwezi sasa kwa nini wabadilishe usajili wa line yaku kutoka kwangu kwenda kwa kampuni bila kunitaarifu, weka akilini kuwa nimekuwa na hii line kabla sijaja kwenye hii kampuni wala kupokea pesa zaoKwani hii line haukuitumia kwa muda mrefu?mie pia line yangu ya airtel aligawiwa mtu mwingine na nilipouliza kulikoni walidai kwa kuwa sikuitumia siku nyingi..
Wazo Zuri la kuwshitaki Tigo wamevunja mkataba na wewe itabidi wakulipe Fidia hapo. Ninakushauri itabidi upate Mwanasheria akusaidia hiyo Deal na upate Advocate ili akupangie kesi ya madai na yeye huyo Advocate atakuambia ni jinsi gani utakavyo funguwa kesi yako ya Fidia utapatadonge nono hapo mkuu.@Kimox Kimokole
Washitaki....mie sio loya...Ngoja waje wakushauri..Kuna mmoja anaitwa somebody Ruttashobolwa yupo kule CC...labda anaweza kukusaidiaZion Daughter hii line haijawahi kuwa offline hata kwa lisaa limoja, siku zote iko ON. Mimi nafanya kazi kwenye hiyo Kampuni, na kampuni huwa ina utaratibu wa kutuwekea salio la tigo kila mwezi sasa kwa nini wabadilishe usajili wa line yaku kutoka kwangu kwenda kwa kampuni bila kunitaarifu, weka akilini kuwa nimekuwa na hii line kabla sijaja kwenye hii kampuni wala kupokea pesa zao
Kinachoniudhi tigo ni kwamba wanapokea pesa zetu halafu wantoa sub standard mwanzo ilikuwa kwa kampuni moja Inaitwa Infinity sasa tatizo la Infinity ni kwamba wanaogopa kulipa watu mishahara kutokana na taaluma. Wanaenda kutafuta watu waliosomea computer corse na kuwapa kibarua matokeo yake wanavuruga kila kitu kwa watej wa tigo. Ndugu yangu huyo wakili mwenyewe akifika Tigo atapewa rushwa na kukusahau kabisa
Pole my Brother
Tigo wanamaudhi hata ya Mama Mkwe wangu yana afadhali ningekuwa mwanasheria ningekusaidia with no fee wanaudhi sana
Ingekuwa kuhama ni rahisi ningehama ila kuna deal zangu nyingi zinapitia kwenye line hiyo, kuifunga kwa sasa ni kukaribisha umasikini
Mkuu Kimox Kimokole Kama ni huku Ulaya wana sheria wapo wa kumwaga na ungelipwa si chini ya Dola Millioni 1 Fidia yako na yule Advocate ungemlipa asilimia 10 ya malipo yako ungelikuwa na pesa huku kwa mchezo wanaofanya huo wa Tigo sasa sijuwi huko kwenye dunia ya 3 kama utaweza kulipwa pesa ngapi?Nahitaji msaada wa Advocate hapa
Mkuu Kimox Kimokole Mkuu.@Mh. Dr F. Ndugulile si Mwanasheria yeye ni Mbunge