Nataka kuwa na uso laini

Wewe ni mwanamme usitafute u-soft ohooo! kuhusu chunusi na madoa osha usu na sabuni kutwa mara nne ukitumia kitaulu/dodoki kusugua tatizo litaisha.
 
oyaa mwana eeh usoft wa kazi gani babuu
we komaa bwanaa mwanaume wewe
mjita mara ya mwisho kupaka mafuta sikumbuki
 
Una umri gani? Kama ni rika la balehe basi chunusi ni kawaida, cha kufanya ni kuzingatia usafi wa uso. Ikiwa zinazidi na kuwa kama vijipu kaonane na daktari wa ngozi. Kumbuka pia quality ya ngozi inategemea lifestyle i.e. vyakula vyenye mafuta na sukari, pombe kupita kiasi, uzito uliozidi pia huchangia kuleta chunusi kwa baadhi ya watu.

Ila kwa mtoto wa kiume kusema "nataka kuwa soft kama mtoto" inanitia mashaka...
 
Ushauri wako mzuri ila ulipofika hapa umeharibu
 
fuata ushauri mzuri tu uliotolewa na wadau hapa, ila mwanaume hasifiwi sura bali utafutaji wa pesa, so usipende kuwa soft
 
Mmh kwa kweli hii siiwezi heri nibaki nilivyo. khaaaaaaa
 


mmh unataka uwe na uso laini kama wa mtoto... mi nadhani ungesema unataka uwe na uso angavu.... lainin tena kama wa mtoto... hapo inabidi uanze kuwaazima dada zetu vipodozi vyao and belive me if u dare... they will judge u otherwise... unless u r up 4 it...
 


ooops kunywa hayo makitu naweza kutapika hadi nyongo
 
yote wanayokwambia hayatofanya kazi, nilipita stage yako, watu wanahisi vitu wanakwambia, usifanye hata kimoja... solution nenda kwa daktari wa ngozi, wale watakagua ngozi yako na kuangalia wataifix vipi.. ukitumiatumia njia hizi unazopigiwa kelele humu utakiona cha moto..
 

Unamshauri mtoto wa kiume akojolewe mdomoni na mwenza wake? Kwani umemuweka kwenye kundi gani huyo kijana?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…