Kwanza una miaka mingapi?nani alikudanganya kwamba usiposoma hautatimiza ndoto zako za kuwa model?na jaribu kufuatilia mamodel wakubwa duniani na wenye mafanikio wana elimu zao kubwa tu lakini wanapenda midelling ,acha utoto nenda shule kwanza uongeze upeo