mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
No cost at all gharama zitakua upande wako. Utahitaji kua na laptop na atleast bandle la 60MB kwa siku.Sawasawa mkuu,, vipi lakin ni bure au tunachangia ?
Tupe ratiba sasaNo cost at all gharama zitakua upande wako. Utahitaji kua na laptop na atleast bandle la 60MB kwa siku.
kweli mkuu manake wengine tuna desktop hatuna laptopNadhani useme nahitaji COMPUTER na INTERNET maana ukitaja laptop mwingine atadhani desktop haifai.
Asante kwa kunicorrect yes computerNadhani useme nahitaji COMPUTER na INTERNET maana ukitaja laptop mwingine atadhani desktop haifai.
Ratiba na kila kitu ndo kuna namba nimeweka hapo.... Haina shida sanaTupe ratiba sasa
Na wewe pia unakaribishwa mwenye desktopkweli mkuu manake wengine tuna desktop hatuna laptop
Na wanaotumia chromebooks watanufaika??Wakuu kwa jina naitwa Felix ama JF name ni liljustine.
Kwa muda sasa nimekua nikijifunza the use of Photoshop (ie photo manipulation) kupitia you tube sources na books.
Sasa ugumu nlikua napata pale unapotaka assistant hasa pale ambapo hujaelewa vizuri. Watu wengi wanakua wakinitajia kipato ambacho kwa kweli nakiona kwangu kinakikwazo.
kumbuka
Bado mimi mwenyewe sijawa Pro ila nakuahidi kukufundisha yote nnayojua na ntakayojua kadiri ya uwezo wangu bila kukutoza gharama yoyote.
Kwa yeyote ambaye yuko interested anitafute kupitia namba 0786371108... Tafadhali nitafute whats app ili niwe na record nijue naanza na wanafunzi wangapi...
Ukiwa seriois we will move quickly.
Mahitaji...
Uwe na *Computer* na muda na internet at least mb 60 tu kwa siku.
Naomba niwasilishe moja wapo ya demoreel yangu
Nakumbusha tena...
Kabla hujanipiga dongo au kunidiss kumbuka bado na mimi nasoma. Ila ugumu nlioupata unanifanya niamue kusaidia wengine..
If you can get photoshop the hump on and rideNa wanaotumia chromebooks watanufaika??
Vipi kuhusu hiyo software ya photoshopAsante kwa kunicorrect yes computer
Tutaanza na photoshop alafu tukijaliwa tutaenda lightroom na hata indesign as long as Mungu yupo tutafikaVipi kuhusu hiyo software ya photoshop
[emoji54]Weka maujanja yako hapa hapa kwenye forum.
Asante amoxylinMungu akuzidishie.
Ndicho ninachotaka kufanya kakaKwann usianzishe whats app group mkafundishaniana huko?