Bro, Mleta Mada amepachagua Kenya, kuja kutalii, hivyo basi naona anataka kushuhudia maisha ya 1st World mwenyewe bila chenga nyingi. Sasa wewe ukimtajia maeneo vituko kama Tanga Tanga kisha gari lake likwame kwenye mtope,, utamsaidia kuliburuta?Mimi nimeshawahi kukaa kwa muda Naivasha, ni sehemu yenye utulivu na mandhari ya kuvutia,kuona Twiga anapita karibu na mji. Naivasha kuna ziwa, mbuga ya wanyama na resorts nzuri ila hivi vitu vyote vinapatikana Tz tena kwa ubora zaidi, kwa nini usiende Magoroto Tanga?
1. Nimejaribu kugoogle nimeona nitapapenda Naivasha. Nitajieni wapi kwingine nitapapenda? Sipendi wanyama, msinipe suggestion za mbugani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna lodge inaitwa Enashipai ipo Naivasha, niliiona kwenye documentary fulani hivi. Nikaipenda. Ndio sababu kubwa ya kwenda Naivasha.Kule passport muhimu sijui kama hilo limebadilika.
Naivasha kuna xiwa flani na vinyumba vya nyasi vyenye utulivu mwingi sana. Utapata kuona viboko huko.
Kuna restaurant moja wanaiita carnivore ni mwendo wa kula nyama sana, hadi mamba utawapata pale, kama hawajabadilisha mambo.
Tunatofautiana ila kwa upande wangu Nairobi sikupafurahia sana. Upcountry ndio nilipapenda zaidi.
Unaweza kufungua akaunt na KCB, Equity au NIC wanaweza ni rahisi kuzitumia hizo benki ukiwa huko Kenya.
Kila la kheri mkuu
Cool places.Bars and Restaurants and Hangouts
Nairobi is the bar and restaurant capital of the region. You will be spoilt for choice. I recommend the following restaurants but we keep a directory of hangouts and social events at the following site :
Social Nairobi | Bars, restaurants, lounges, clubs and...
Nairobi Kenya Bars, cafés, restaurants, lounges, clubs and social events in the capital.www.skyscrapercity.com
Recommendations:
1:The Alchemist
2: K1 The Flea Market
3: Nyama Mama
Nyama Mama KE
Nyama Mama KE. 22,997 followers · 1 talking about this · 134 were here. Mama has gone back to her roots preparing home-style locally inspired cuisine with a modern eclectic twist. Westlands -...www.facebook.com
4: Kiza
5: Caramel Restaurant and Lounge
Nimeuliza kujua options ambazo zipo Nairobi na Dar ndio maana nikasema nione utofauti wake..Matajiri wa Arusha wengi huja kula bata Nairobi, ukiwa na hela yako kuna mengi ya kufanya Kenya, ila wewe hapo tayari umeanza kuhoji mambo ya hela, nahisi utapaona pagumu. Kwenye suala la alshabaab, sijui nani aliwaaminisha kwamba huku tunauawa kila siku. Wahoji maelfu ya Watanzania ambao huja Kenya kila siku.
Lakni kama uko serious na sio pumba, nashauri uende hapa mahali kwenye hii video, ndiko nakusudia kwenda na familia Krisimasi
Thank you.If you are from Dar ... Then most likely the beach and coastal setup will not make fascinate you.....Avoid Mombasa. Nairobi - Naivasha - Nakuru will make more sense.
Kuna lodge inaitwa Enashipai ipo Naivasha, niliiona kwenye documentary fulani hivi. Nikaipenda. Ndio sababu kubwa ya kwenda Naivasha.
Sipendi wanyama, hizo story za viboko ndo sitaki sikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipenda zaidi 8020 zaidi ya KizaBars and Restaurants and Hangouts
Nairobi is the bar and restaurant capital of the region. You will be spoilt for choice. I recommend the following restaurants but we keep a directory of hangouts and social events at the following site :
Social Nairobi | Bars, restaurants, lounges, clubs and...
Nairobi Kenya Bars, cafés, restaurants, lounges, clubs and social events in the capital.www.skyscrapercity.com
Recommendations:
1:The Alchemist
2: K1 The Flea Market
3: Nyama Mama
Nyama Mama KE
Nyama Mama KE. 22,997 followers · 1 talking about this · 134 were here. Mama has gone back to her roots preparing home-style locally inspired cuisine with a modern eclectic twist. Westlands -...www.facebook.com
4: Kiza
5: Caramel Restaurant and Lounge
Ila kumbuka zinachangamka ijumaa na jumamosi kidogo,sio kama bongo