ras mkweli
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 280
- 104
Wapendwa wanajukwaa nataka kusoma language ya kichina oline naombeni free site au material kama kuna mwanajukwaa ameshasoma kwa jinsi hii
Thanks mkuu let me try in my level bestJaribu youtube kuna tutorials mbalimbali...
Kila la heri kwenye kujiongeza kwako mkuu
poa poa rasThanks mkuu let me try in my level best