Melon Micky
Member
- Sep 13, 2020
- 25
- 73
Wewe phaller sanaMwenyewe bado hujajizatiti. Unakimbilia shobo mtandaoni
Ndio analodai huyo uliyemnukuu. Kama unatoa kwa moyo, toa, huna haja ya kuja hapa.Kutoa ni moyo ndugu
Seriously, mtu humjui wala hakujui lakini bado unapata nusu saa ya kusimama nae barabarani na kuongea nae?Baada ya maongezi ya muda kama nusu saa hivi likaja wazo kwamba hivi siwezi kumsaidia kwa mtaji mdogo hata wa elfu hamsini akafanya biashara hata ya kuuza viungo kama nyanya n.k.
Angesaidia tu hakukuwa na haja ya kuja kutuambiaKutoa ni moyo ndugu
Mkuu umenikumbusha kuna siku nimeamin kumantain ukwasi ni lazima uoneshe roho ya msimamo ambayo weng huitafsir kama roho mbaya if the situation is to be against them nilinusurika 0.1 inches kufirisiwa na hawa warembo atakayeuliza nitamquote ili niendeleze kuepusha post kuwa ndefu zaidSeriously, mtu humjui wala hakujui lakini bado unapata nusu saa ya kusimama nae barabarani na kuongea nae?
Kama ni kweli, acha tu ni-conclude kwamba ndo maana huwa mnaibiwa au kutapeliwa!!
ANGALIZO: Sio kila demu utakayemkuta kabeba ma-counterbook Mjini Kati ni Mwanafunzi wa Chuo!! Zamani kabla wanafunzi wa sekondari hawajawa radioactive material, usije kudhani kila utakayemkuta kavaa sketi ya orange au light blue ni Mwanafunzi wa Jangwani au Zanaki!!
TRUE...Mkuu umenikumbusha kuna siku nimeamin kumantain ukwasi ni lazima uoneshe roho ya msimamo ambayo weng huitafsir kama roho mbaya if the situation is to be against them nilinusurika 0.1 inches kufirisiwa na hawa warembo atakayeuliza nitamquote ili niendeleze kuepusha post kuwa ndefu zaid