NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Yaani km bodi lake liko so luxury bora ulipeleke huko kwa wachina maana wabongo ukiingia choo cha kike gari itapigwa rangi km malaya aliyejizisha poda usoni hutolitaman tena
Kweli mkuu, gari yangu moja ilianguka arusha, nikaenda ikavutwa mpaka kwa mswahili mwenzangu jina la GEREJI nalitunza , nikaondoka, mwezi mzima kurudi nkakuta imepakwa rangi kama kichaa alikuwa anachezea, imehibiwa rubber za kuzunguka wind glass na mota ya maji, site mirror ya ajabu wamepachika! Nkaona ujinga, ikatolewa ivo ivo mpaka kwa muhindi, gari ilitafutiwa mafundi kama6 ivi nikaambiwa njoo baada ya wiki, nilienda kuchukua GARI, IKO KAMA MPYA yani rangi imekolea zaidi ya ilivotoka japani!! Ndugu zangu niliingia gharama Mara mbili, na muhindi alinieleza ilivokuwa na puti mbichi, miezi 9 ingepauka nikaikimbia!! CHEAP IZ EXPENSIVE!!
Nakushauri upeleke makumbusho kwa wa Korea au pale temeke sokota kwa wachina, tatizo la garage za wa bongo nyini hazina compressor kubwa kwa kupulizia rangi, pili wakisha piga puti nene mojakwamoja wanataka wasawazishe na puti nyembeba yakumalizia kabla haijakauka, hili linasababisha baadae rangi kuvimba au kubanduka...unaweza pata fundi mzuri ila akawa hana vitendea kazi epson