Hujaeleweka vizuri mkuu, au ulitaka kumaanisha muda gani mzuri kwa watu kudumu kwenye uchumba kabla ya kuoana????
Kama ndivyo, sidhani kama kuna standard time, ila wengi niliowahi kuwasikia wakishauri, minimum angalao iwe miezi sita.
Maximum ni commitment na utayari wenu utaamua.