nataka kuoa

nataka kuoa

Hivi ni mda gan m2 anatakiwa awe tayari wachumba wanatakiwa waoane.

hii mada ina walakini mwingi,hebu iweke vizuri maana nahisi kuna mkato somewhere au unaendeleza maelezo,kifupi haieleweki.
 
Hujaeleweka vizuri mkuu, au ulitaka kumaanisha muda gani mzuri kwa watu kudumu kwenye uchumba kabla ya kuoana????

Kama ndivyo, sidhani kama kuna standard time, ila wengi niliowahi kuwasikia wakishauri, minimum angalao iwe miezi sita.
Maximum ni commitment na utayari wenu utaamua.
 
mnh kama ni age nadhani 27 yrs kwa mwanaume na 25 yrs kwa mwanamke,ila kiundani wakati muafaka ni ule kila mtu kasoma na ana kazi ama biashara inayomuingizia kipato then ndio harusi,source:love conect siku hizi kama huna degree ama kazi ya kipato wachumba utawasikia redioni...........so mtoa mada umejipanga kuoa sio lele mama ni kuenda kuanzisha familia,na majukumu kibao
 

muwe na umri unaotakiwa
kila mmoja awe na utayari ktk hilo
msomane tabia kila mmoja aridhie tabia ya mwenzie
uwezo wa kuhandle familia mtakayoanzisha!!
ndoa ina magumu mengi,uvumilivu unatakiwa!!kila la kheri!!

 
Ndio mtarajiwa ni wewe 2 kuweka mambo sawa na kufanya uamzi wa dhati koz ndoa ndoano wala si lele mama otawaz usiogope kwa sababu ya kipato mke atakuja na chake kuongexea
 
mwanaume 25-35,mwanamke 18-29, ila zaidi ya hapo unaweza kuendelea ila umechelewa
 
Back
Top Bottom