Oa mkuu huyo binti kwa kuwa ushauri unaoutemea kutoka humu asilimia kubwa hautakusaidia sana.cha msingi mkubaliane na mwenzio ktk ujenzi wa maisha yenu ya wawili.Kabila si tatizo labda kama wewe una mila na desturi tofauti na zetu tulioamua kuoa makabila tofauti na yetu.Komaa usimuache huyo mtoto mzuri wa kimakonde.
Inategemea kama unataka mke ngono au mke housegirl au mke msaidizi/mshauri. Sikuona sifa za mke mshauri maana kuna watu wameharibikiwa baada ya kuoa maana mke hana mchango wowote kwenye mipango ya maendeleo. Yeye ngono tuuu hata mara 3 kwa siku. Looo!!!

We asikutishe bwana, kama umempenda oa. Hayo mengine itategemea utavyomtreat kumbuka mwanamke hamalizi malezi, weka principle zako hadharani, muelekeze unayoyataka na unavyotaka muishi, kama muelewa atakuelewa.
Pia kumbuka no one is perfect even you!