Bei za wapi hizi? Na huyu jamaa mwenyewe sijui anaishi wapi? Mbona huku kwetu LG ya size hiyo kwa 600,000/= unapata! ZEG ya 34" unapata kwa 600,000/= LED ukikomaa ku-bargain hata kwa 580,000 unapata!
Kwako ndo wapi kaka..? Unauliza hujui huyo mwingine anaishi wapi, na hapo hapo unatuweka katika giza kuhusu sehem unayo zitajia hizo bei... mpaka tukuulize??