nataka kununua toyota starlet

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
499
206
Nataka kunua gari aina ya Toyota starlet kipi na kipi cha kucheki kabla sijanunua kwa MTU
 
cheki kama taa zinawaka... cheki kama linaweza kurudi nyuma rivasi.. cheki kama lina viti
 
Nenda na fundi wako unayemuamini mfanye test driving alikague vizuri
 
Kama ndo Mara yako ya kwanza kumiliki gari bila FUNDI utaliwa tu Hamna namna.

Engine ndo kila kitu, inapokeaje wese, na inavyobadili gear. Hivo vingine ni minor sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom