nataka kununua toyota ipsum

nataka kununua toyota ipsum

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
habarini wapendwa..jamani mimi naipenda sn hii gari na napenda niinunue ila tatizo siijui kiundani matatizo yake pamoja na ulaji wa mafuta.kwa wanaoifahamu naombeni ushauri pamoja na bei zake
 
habarini wapendwa..jamani mimi naipenda sn hii gari na napenda niinunue ila tatizo siijui kiundani matatizo yake pamoja na ulaji wa mafuta.kwa wanaoifahamu naombeni ushauri pamoja na bei zake
Ungetusaidia kidogo kwa kueleza hata mwaka wa gari kuliko hivi inakuwa too general maana matoleo tofauti yanasifa tofauti pia.
 
Ipsum ni nzuri sema inahitaji matunzo ya hali juu, tofauti na magari mengine kama cruiser.....
 
Ipsum ipi ya engine 3s au hii ya sasa 240.
 
Ipo yangu naiuza; ni Ipsum 240 ya mwaka 2004, black, 2390cc, iliingia mwaka jana july kutoka Japan, so ina mwaka mmoja tu. Fuel consumption ipo powa sana 1km/10km. Kama vip nipe hiyo 13M nikuachie huo mkoko.
 
Ipsum sio gari nzuri na hata ukiangalia ina CC kubwa wakati gari ya kawaida.ina cc 2300 ambayo ni zaidi hata ya toyota harrier
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom