Nataka kununua gari Yard Dar naomba ushauri

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetolea ufafanuzi taarifa juu ya kupanda kwa gharama za kodi za magari yaliyotumika yanayoingia nchini.
Ufafanuzi huo umekuja wakati kukiwa na malalamiko ya wafanyabiashara ya magari wakidai kuwepo kwa ongezeko la kodi za magari ya mitumba.

Taarifa ya TRA iliyotolewa katika gazeti la Mwananchi leo Ijumaa Januari 8 imekuongezeka kwa ushuru wa baadhi ya magari kuanzia Januari mwaka huu kutokana na uthaminishaji uliozingatia bei halisi za magari hayo, huku pia magari mengine yakishuka bei.

“Kimsingi ongezeko hilo limetokana na bei halisi ya magari husika na hivyo haimaaishi kwamba TRA imeongeza ushuru wa magari,” imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.

TRA imesema kuwa magari yaliyotumika hutozwa ushuru wa bidhaa kutokana na umri wa gari ambapo umri wa gari huhesabiwa kwa kufuata mwaka wakalenda.
Kwa upande wa magari madogo yenye umri wa maika minane hadi tisa pamoja na kodi nyingine hutozwa ushuru huo wa bidhaa kwa asilimia 15 na gari yeye umri zaidi ya huo hutozwa kwa asilimia 30.

“Hivyo ikiwa mwagizaji aliagiza gari binafsi lenye umri wa miaka tisa mwaka 2020 na likaingia nchini mwaka 2021 itatozwa ushuru wa bidhaa kwenye umri wa asilimia 30 badala ya asilimia 15 ambayo ingetozwa ikiwa gari yake ingewasili kabla ikiwa gari yake ingewasili kabla ya mwaka huu,” imesema TRA.

Mamlaka hiyo imefafanua kuwa kutokana na sababu hiyo waigizaji wa magari yenye umri huo waliagiza mwaka 2020 na kuingia mwaka 2021 ni wazi kuwa kodi kwenye gari aliloagiza itaongezaka hivyo wakasema hakuna kiwango cha kodi kilichoongezwa kwenye magari.

TRA imesema katika taarifa hiyo kuwa uthaminishaji wa bidhaa hufanyika kwa mujibu wa kifungu cha sheria ya forodha ya Afrika Mashariki ya mwaka 2004 iliyorejewa mwaka 2019 kikisomwa pamoja na jedwali la nne la sheria hiyo.
 
Okay, but mbona comment yako katika huu uzi......?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu, nataka kununua gari Yard, Je ni yard gani inaaminika Hapa Dar? Ambao hawana ile michezo yao ya kumanipulate ODDO!
Msaada tafadhali

Kwanza pole. Ila unachokitaka ni ngumu kukipata.

Aanayejua kama Oddo imekuwa manipulated ni aliyefanya huo mchezo.

Kama unaangalia Oddo kama ndio kipimo cha ubora wa gari. Hutopata unachokitaka.

Otherwise agiza tu nje.
 
Kwahiyo nikienda Yard nizingatie vitu gani kaka zaidi ya oddo? Maana sijui kama jamaa wanaweza kuniruhusu kuitest gari kabla ya kulipia!
 
Sijajua unanunua gari gani ila hizi gari za kisasa kuna kaguzi ambazo zinaweza fanyika bila hata kuliendesha na ukajua kama lina uzima au lah.

Mfano juzi tumenunua gari IST yard. Katika IST tano nilizokagua. Ni IST moja tu ndio tuliikuta iko poa japo ilikuwa na marekebisho madogo kwa sababu imekaa muda mrefu. Niliipima kila kitu ikiwa imesimama.

Pia ukae ukijua kwamba serikali imepandisha kodi hivi karibuni. Hivyo kama una bei za mwaka jana ukienda yard sasa hivi unaweza ukashangazazwa.
 
Habari zenu wakuu, nataka kununua gari Yard, Je ni yard gani inaaminika Hapa Dar? Ambao hawana ile michezo yao ya kumanipulate ODDO!

Msaada tafadhali
1. Gharama iko juu
2. Repainted
3. Odometer kushushwa

Ningekushauri ufikirie option ya kuagiza kama walivyoshauri wachangiaji waliotangulia.

Aidha ;

Mkuu nakushauri uagize tu ingawa inachukua muda mrefu mpaka gari ifike, wiki tatu zilizopita nilienda kununua gari yard fulani hapa Dar yule muuzaji bila ya aibu ananiambia eti betri la gari bovu nikamwambia yaani nakupa karibia milioni 20 unanijibu betri mbovu sasa unataka mimi nifanyeje? Ikabidi niende kwa meneja wa ile yard kumweleza ile ishu akamwamuru yule jamaa anibadilishie betri haraka kwa kuchukua kwenye gari nyengine maana nilimweleza wataikosa ile pesa kwa ajili ya betri tu
 
Wabadilishe au wakanunue betri mpya??
Wanakosa 20M kwa Betri ambayi ni almost 200k.
 
Nilichokuwa nawaza ni yule aliyenambia betri bovu baadae nikishalipia gari anifate na kunieleza kuwa ana betri jipya nimpe pesa ili aniuzie maana anajua kutoa laki moja kwa kipindi kile ingekuwa sio ishu kwangu, ndio maana nikamstukia
 
Mkuu nakushauri uagize tu ingawa inachukua muda mrefu mpaka gari ifike, wiki tatu zilizopita nilienda kununua gari yard fulani hapa Dar yule muuzaji bila ya aibu ananiambia eti betri la gari bovu nikamwambia yaani nakupa karibia milioni 20 unanijibu betri mbovu sasa unataka mimi nifanyeje? Ikabidi niende kwa meneja wa ile yard kumweleza ile ishu akamwamuru yule jamaa anibadilishie betri haraka kwa kuchukua kwenye gari nyengine maana nilimweleza wataikosa ile pesa kwa ajili ya betri tu
Unaweza kuagiza ikawa na betri mbovu pia
 
Kwanza pole. Ila unachokitaka ni ngumu kukipata.

Aanayejua kama Oddo imekuwa manipulated ni aliyefanya huo mchezo.

Kama unaangalia Oddo kama ndio kipimo cha ubora wa gari. Hutopata unachokitaka.

Otherwise agiza tu nje.
Mkuu kujua kama ODDO ipo manipulated unaomba file la gari..kwenye file la gari kunakua na documebt ya TBS inayoonesha gari imekaguliwa ikiwa na kilometer ngapi sasa ukiona unauziwa garri ya yard na hauwepi attachment ya TBS na gari inasoma low mileage jua hapo tayari umeshapigwa...
 
Back
Top Bottom