Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali
Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali
Naona jamaa hata kujieleza kwa mtoto huyo hatoweza.
Mbaya zaidi amempeneda umaarufu,maana mitaani wapo tu kama Vanessa.Na kwa taarifa yake tu ni kwamba anajamaa tayari na jana alikuwanae kwenye kupokea Tuzo.Sasa wewe endelea Kumvutia kasi chooni kwa sabuni uongeze mende chooni.