Wakuu naomba kwa wanaojua taratibu za kulipia online application kwa anayetaka kulipia hii fees ya kujisajili chuon SUA anisaidie process kwani nimejaza kwenye ile portal yao lakini nikishafika pale kwenye register nakwama naambiwa nilipe kwanza. Nikitaka kulipa kwa mpesa natakiwa kuwa na payment reference number. Sasa namna ya kuipata hii number imeniwia mtihani. Naombeni msaada.