Nataka kujuzwa kuhusu Berlin

Nataka kujuzwa kuhusu Berlin

The Hunter

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
1,049
Reaction score
307
Na kasiku kamoja ka kuitembelea Berlin, wapi pana mambo mengi ya kihistoria? Natanguliza shukrani
 
ukirudi unipe data na mimi alafu peleka jukwaa la historia hili bandiko lako.
 
Karibu sana.

Kwani unapenda mambo mambo gani ya kihistoria? Ni jiji lenye mambo mengi, onyesha kipaumbele chako kwa kile ukitakacho ili iwe rahisi kusaidiwa.
 
Back
Top Bottom