Jmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina lakin sikuweza kubahatika kusikia jina lake kwa yoyote ambae anajua au kunishaur naomba msaada wenu asanten.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri pakua app ya hellotalk. Hapo utajisajiri na kutafuta marafiki wa kichina. Jenga urafiki nao na utakuwa unajifunza maneno mbalimbali. Lakin mpaka utakapompata rafiki mwenye moyo mzuri atakusaidia vizuri sana. Naomba kuwasilishaJmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina lakin sikuweza kubahatika kusikia jina lake kwa yoyote ambae anajua au kunishaur naomba msaada wenu asanten.
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteNenda pale UDSM, karibu na udbs... Utapata maelezo yote... Hata mm nina plan ya kujifunza.
What.....Ukikamilisha mchakato niambie nikulipie
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
AsanteNakushauri pakua app ya hellotalk. Hapo utajisajiri na kutafuta marafiki wa kichina. Jenga urafiki nao na utakuwa unajifunza maneno mbalimbali. Lakin mpaka utakapompata rafiki mwenye moyo mzuri atakusaidia vizuri sana. Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafundisha bure? Hata km sio mwanachuo?Udsm confucius institute ofisi zao zinapatikana kwenye Library mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhh sawaUkikamilisha mchakato niambie nikulipie
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Jmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina lakin sikuweza kubahatika kusikia jina lake kwa yoyote ambae anajua au kunishaur naomba msaada wenu asanten.
Sent using Jamii Forums mobile app
habari. Kwa jina naitwa Peter Munanka(木楠卡) .Mimi nnaweza kukufundisha, kwa sasa nipo Chengdu,China (成都) lakini ntarudi Dar es Salaam mwisho wa mwezi wa 7.Kuna Chuo pale UDSM cha kufundisha Kichina yaani (Mandarin) lakini ni gharama,ntapunguza gharama sana na wanafundisha juu juu tu. Nmeishi China huu ni mwaka wa 4 kama mwanafunzi wa lugha na uhandisi. Karibu.Jmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina lakin sikuweza kubahatika kusikia jina lake kwa yoyote ambae anajua au kunishaur naomba msaada wenu asanten.
Sent using Jamii Forums mobile app
下午好,ndugu Peter.我是上海外国语大学斯瓦希里语专业的学生,我的斯瓦希里语名字叫Bakari.我上大学三年级那年,也就是2020-2021年,我要去坦桑尼亚达累斯萨拉姆大学做交换生。如果有空余时间的话,我想去你的汉语学校兼职做老师。(我是地地道道的中国人)habari. Kwa jina naitwa Peter Munanka(木楠卡) .Mimi nnaweza kukufundisha, kwa sasa nipo Chengdu,China (成都) lakini ntarudi Dar es Salaam mwisho wa mwezi wa 7.Kuna Chuo pale UDSM cha kufundisha Kichina yaani (Mandarin) lakini ni gharama,ntapunguza gharama sana na wanafundisha juu juu tu. Nmeishi China huu ni mwaka wa 4 kama mwanafunzi wa lugha na uhandisi. Karibu.
unaweza kunipata Whatsapp (+8615928077274) au hata hapa tunaweza kuwasiliana.
Nna mpango wa kufungua training center kufundisha Kiingereza(British English) na Kichina (普通话)
Ikiwezekana kama upo karibu nnaweza kukufata kwakuwa nna usafiri.
Jifundishe Kiswahili kwanza.Jmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina lakin sikuweza kubahatika kusikia jina lake kwa yoyote ambae anajua au kunishaur naomba msaada wenu asanten.
Sent using Jamii Forums mobile app