Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.

Kimbiji kwa Morris heka moja na robo bei milioni 15,mbutu kigamboni kiwanja kimepimwa kabisaa kina ukubwa wa sqm 1298 kina hati ya wizara ya ardhii bei milioni 40 dakika 4 beach.0767600250
Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.
Kimbiji kwa Morris heka moja na robo bei milioni 15,mbutu kigamboni kiwanja kimepimwa kabisaa kina ukubwa wa sqm 1298 kina hati ya wizara ya ardhii bei milioni 40 dakika 4 beach.0767600250View attachment 2670908