kipindi cha nyuma nilipata msg kama hiyo ila baadaye wakaanza kuniuliza hadi benki ninayotumia hata akaunti namba,nikawapa akaunti namba feki ambayo nilikuwa natumia kipindi fulani cha nyuma ila ikwa imefungwa kwa idhaa yangu,halafu wakanijibu eti hiyo akaunt haitumiki.Woga wako 2 we wasiliana naye uone.
kipindi cha nyuma nilipata msg kama hiyo ila baadaye wakaanza kuniuliza hadi benki ninayotumia hata akaunti namba,nikawapa akaunti namba feki ambayo nilikuwa natumia kipindi fulani cha nyuma ila ikwa imefungwa kwa idhaa yangu,halafu wakanijibu eti hiyo akaunt haitumiki.
sasa naogopa na huyu anaweza kuwa walewale
Kweli lazima uwe na wasiwasi kwan aliye ng'atwa na nyoka hata jani likimgusa anashtuka..ila hebu mtest akileta yaleyale au aina flani hivi mpe makavu yake.kipindi cha nyuma nilipata msg kama hiyo ila baadaye wakaanza kuniuliza hadi benki ninayotumia hata akaunti namba,nikawapa akaunti namba feki ambayo nilikuwa natumia kipindi fulani cha nyuma ila ikwa imefungwa kwa idhaa yangu,halafu wakanijibu eti hiyo akaunt haitumiki.<br />
sasa naogopa na huyu anaweza kuwa walewale
Kweli lazima uwe na wasiwasi kwan aliye ng'atwa na nyoka hata jani likimgusa anashtuka..ila hebu mtest akileta yaleyale au aina flani hivi mpe makavu yake.