Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 Sep 18, 2019 #1 Namaanisha bima ya Gari. Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu.
Namaanisha bima ya Gari. Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu.
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 2,995 Reaction score 8,273 Sep 18, 2019 #2 Mr. MTUI said: Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu. Click to expand... Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu
Mr. MTUI said: Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu. Click to expand... Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Sep 18, 2019 #3 Mr. MTUI said: Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu. Click to expand... Hamia Alliance Insurance, hutojuta. Niliwahi kupata claim pale, baada ya kukamilisha documents zote zinazotakiwa ndani ya siku 3 nishalipwa tayar
Mr. MTUI said: Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu. Click to expand... Hamia Alliance Insurance, hutojuta. Niliwahi kupata claim pale, baada ya kukamilisha documents zote zinazotakiwa ndani ya siku 3 nishalipwa tayar
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 Sep 18, 2019 Thread starter #4 Dr. Wansegamila said: Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu Click to expand... Gari
Dr. Wansegamila said: Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu Click to expand... Gari
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 Sep 18, 2019 Thread starter #5 Shark said: Hamia Alliance Insurance, hutojuta. Niliwahi kupata claim pale, baada ya kukamilisha documents zote zinazotakiwa ndani ya siku 3 nishalipwa tayar Click to expand... Ulilipwa bila Mkaguzi kwenda garage?
Shark said: Hamia Alliance Insurance, hutojuta. Niliwahi kupata claim pale, baada ya kukamilisha documents zote zinazotakiwa ndani ya siku 3 nishalipwa tayar Click to expand... Ulilipwa bila Mkaguzi kwenda garage?
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Sep 18, 2019 #6 Mr. MTUI said: Ulilipwa bila Mkaguzi kwenda garage? Click to expand... Sio kila claim inahitaji Mkaguzi Bob,
Mr. MTUI said: Ulilipwa bila Mkaguzi kwenda garage? Click to expand... Sio kila claim inahitaji Mkaguzi Bob,
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 Sep 18, 2019 Thread starter #7 Shark said: Sio kila claim inahitaji Mkaguzi Bob, Click to expand... Okey..claim yako ilikua Ni ya ajali au kitu gani
Shark said: Sio kila claim inahitaji Mkaguzi Bob, Click to expand... Okey..claim yako ilikua Ni ya ajali au kitu gani
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 Sep 18, 2019 #8 Hivi ni kwanini bima hawataki pikipiki na bajaj,wao wanataka magari tu
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,638 Sep 18, 2019 #9 Dr. Wansegamila said: Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu Click to expand... Labda jamaa atakuwa anasema kachoka kuishi Tabata Bima anataka kuhama hajui haamie wapi?
Dr. Wansegamila said: Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu Click to expand... Labda jamaa atakuwa anasema kachoka kuishi Tabata Bima anataka kuhama hajui haamie wapi?
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 Sep 18, 2019 Thread starter #10 Kisiwa Cha Harishi said: Labda jamaa atakuwa anasema kachoka kuishi Tabata Bima anataka kuhama hajui haamie wapi? Click to expand... Soma vzuri Uzi mkuu
Kisiwa Cha Harishi said: Labda jamaa atakuwa anasema kachoka kuishi Tabata Bima anataka kuhama hajui haamie wapi? Click to expand... Soma vzuri Uzi mkuu
IROKOS JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 10,182 Reaction score 7,844 Sep 18, 2019 #11 Bima ya aina gani mkuu?? Shark said: Hamia Alliance Insurance, hutojuta. Niliwahi kupata claim pale, baada ya kukamilisha documents zote zinazotakiwa ndani ya siku 3 nishalipwa tayar Click to expand...
Bima ya aina gani mkuu?? Shark said: Hamia Alliance Insurance, hutojuta. Niliwahi kupata claim pale, baada ya kukamilisha documents zote zinazotakiwa ndani ya siku 3 nishalipwa tayar Click to expand...
F fisi 2 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 3,284 Reaction score 4,652 Sep 19, 2019 #12 Acclavia ndio iko more friendly kwa sasa ingawa ni mpya.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,802 Reaction score 830,985 Sep 19, 2019 #13 Mr. MTUI said: Namaanisha bima ya Gari. Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu. Click to expand... Alliance
Mr. MTUI said: Namaanisha bima ya Gari. Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu. Click to expand... Alliance
kamanda wa makamanda JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 633 Reaction score 498 Sep 19, 2019 #14 Mr. MTUI said: Okey..claim yako ilikua Ni ya ajali au kitu gani Click to expand... Si mseme madai, mbona mnajiumiza na hilo neno claim
Mr. MTUI said: Okey..claim yako ilikua Ni ya ajali au kitu gani Click to expand... Si mseme madai, mbona mnajiumiza na hilo neno claim
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 Sep 19, 2019 Thread starter #15 Mshana Jr said: Alliance Click to expand... Thanks mkuu ntauzingatia ushauri wako
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 Sep 19, 2019 Thread starter #16 Naona watu wanaipa kongole Alliance
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,593 Reaction score 19,013 Sep 19, 2019 #17 Dah!!!
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,702 Sep 19, 2019 #18 Zanzibar Insuarence
Entreprenuare JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,616 Reaction score 1,735 Sep 20, 2019 #19 Dr. Wansegamila said: Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu Click to expand... Kashasema ya gari.. usitumie hisia kuongea
Dr. Wansegamila said: Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu Click to expand... Kashasema ya gari.. usitumie hisia kuongea
Nyoka mwenye makengeza JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 870 Reaction score 779 Sep 20, 2019 #20 njoo segerea