WanaJF nawaombeni mniunge mkono kwa hii ndoto yangu ya siku nyingi. Tangu milieu motto mama yangu alikuwa akiniuliza maswali ambayo majibu yake nilijibu nataka Kuwa RAIS wa Tanzania WA kuchaguliwa na wapiga kula. Kwa sasa niko tayari kuwatumikia watanzania wapenda amani Mola aniongoze kwa hili.
Ntamlaumu na kumlaani kikwete siku zote,ndo kasababisha yote yanayotokea
WanaJF nawaombeni mniunge mkono kwa hii ndoto yangu ya siku nyingi. Tangu milieu motto mama yangu alikuwa akiniuliza maswali ambayo majibu yake nilijibu nataka Kuwa RAIS wa Tanzania WA kuchaguliwa na wapiga kula. Kwa sasa niko tayari kuwatumikia watanzania wapenda amani Mola aniongoze kwa hili.
mkuu unamaanisha nini?
Au nilivoelewa ndo ivo ivo