Habari wakuu,
Nimepeleza cherehani moja kwa ajili ya kukamilisha kiwanda changu kipya ninachotarajia kufungua hv karibuni. hii ni ktk kuunga mkono juhudi na kutoa ajira kwa vijana.
Hivyo basi mwenye cherehani used naomba aniuzie na bei itakuwa ni maelewano. Njoo kwa pm kama unayo. Ahsanteni.