Mkuu pata DEFY,Bosch au Kelvinator kama hayo makampuni yapo kkoo wacheki hao ndio bora ktk vtu ivyo..macro au game johannesburg bei zao ni rand 7000 mpaka 10,000 inategemeana na kilo ya mzigo inayobeba.rand moja ni tsh 170 kama una mtu South akusaidie kupata malori mengi ya Tz yapo kempton park akipakia unapata tuu hapa.