Wasalamu,
Wana Biashara na uchumi,Nimekuwa na idea ya kutengeneza t_shits special kwa couples,niwe nadesign mwenyewe mtindo then nipeleke kiwandani wanitengenezee.Naombeni muongozo ni viwanda gani hapa naweza hapa hii huduma ya kutengezea t_shirt quality za cotton.
Asanteni