Kama utakuwa serious nawezakukutafutia simu nzuri used jaribu kutizama dubizzle.com hapo utakuta simu nyingi used roughly utapata idea ya bei zake,pia kumbuka pesa yetu imeshuka thamani hivyo bei utayoikuta hapo zidisha na 500 utapata Tsh,hii ni kwa hapa Dubai wawezatazama Nairobi na SA ili upate bei za huko ukiwa interested tutawasiliana...Aksante