Visitatanzania
Member
- Jul 25, 2012
- 29
- 2
Wakuu,
Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya udalali hasa wa nyumba, viwanja, magari na electronics zingine.
Nahitaji kujuwa:
1. Ni shilingi ngapi zinahitajika ili kusajili kampuni ya namna hii?
2. Ni vitu gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kupata usajili wa kampuni?
3. Moja ya kazi itakayojihusisha nayo kampuni hii ni kutafuta masoko kwa ajili ya bidhaa za wengine na kutafuta bidhaa popote zilipo duniani kwa bei nafuu kwa ajili ya anayetaka kununua bidhaa husika lakini katika kununua bidhaa hizo huko zilipo kwa bei nafuu tutahitaji kutumia pesa ya mhitaji/anayetaka kuinunua hiyo bidhaa, Je tutafanya nini mpaka mhitaji aweze kutuamini na kutoa pesa ili sisi tununue kwa niaba yake?.
Vitu ninavyoweza kumudu mpaka sasa ni:
1. Ofisi
2. Website
Pia nitahitaji wadau wengine 2 wa kushirikiana nao.
Nawasilisha