Nataka kuanza kununua dada poa ili kuiponya nafsi yangu

Sasa kwanini basi mke sipati ili kuepuka kuzini, kama nikutafuta na kuomba nafanya sana?
Usikate tamaa,endelea kuomba,ukiona giza linazidi ujue kumekaribia kupambazuka,Mungu hua hamtupi mja wake mwenye nia njema,

Huko unapotaka kujiingiza utapotea,itafika muda utatamani hata uwe na hali uliyonayo leo ila haitowezekana tena,kuna risk kubwa sana ya kiafya huko unapotaka kukimbilia,

Kaa chini,fikiria kisha jihurumie,
Kila kitu kitakua sawa na utasahau maumivu unayoyapitia sasa,do ur best and God will do the rest,

Good luck Brother.
 
Hili nalo ni tangazo la natafuta mtu wa kuoa ila limekuja katika njia nyingne ya kuonwa innocent.
Mkuu we kunywa...nnua sana ila weka akiba ya fedha usije ukahitaji msaada wa raia.
 
Kama utelezi unapata kwa mabinti sasa dadapoa wa nini?
Kwani dada poa ukinunua ndo umepata mke? Au we unaenda kununua dadapoa awe mke sio trip ya data to day?
 
Umetoa maelezo marefu lakini sijaona nia ya kupata au kutafuta mke, na kuna uwezekano mkubwa hizi harakati za kufanya mapenzi na wanawake umezianza ukiwa na umri mkubwa na sababu iliyokuchelewesha ni WOGA.
 
Pole bro! Hapo umekimbia depression na kwenda kutafuta matatizo ya afya yako kutokana na pombe, usiruhusu hilo.

Afya yako ni muhimu kushinda huyo anaekupa mawazo, jipende.
 
Mada zako huwa zinafurahisha ila ushausi tu achana na mapenzi kama huwezi kuachana nayo bas acha kulazimisha watu wakupende ndo naishia hapo mkuu
 
Weka bandiko huku la kuntafuta mke,na Instagram page nyingi tu Kuna wadada wanataka ndoa sijui unakwama wap
 
Jikite kwenye kufanya maendeleo .
A. Ya mazao
B. Ujenzi uwe unajenga nyumba zakupanga upangishe ikiwa mazao yako yapo shambani kwakuvunwa ila madawa yakulevya sio solution, kama huna nyumba jenga uishi poa kama huna gari nenda kanunue kadogo jaribu kujiingiza katika kujiwekea vitu vyako baadae Mungu atakuletea tu mke wako bora aisee wapo sema hajui unamtafuta mtafute mwanadada mmoja pimeni afya basi muwe wapenzi ukiwa busy umemshinda shetani . Ngoja nikupe mbinu ukiwa na wadada poa unapunguza heshima , utu na furaha yako uliyokuwa nayo
 
Jitulize kwanza utatue changamoto zako sio upeleke matatizo yako ya akili kwa mtoto wa watu. Ndo maana wanakukataa maana wanaona huna utulivu wa akili.
Nimejitahidi ila napwaya sana, mwanamke pekee ndiye anayeweza kiniweka sawa kwa sasa
 
Fanya kinachokufurahisha kama ni kutoka out, kumwagilia moyo, movie, mpira n.k kuhusu wanawake atakaeingia kwenye mfumo we chakata mbususu tu achana na mawazo ya kuoa. Mke wa kuoa atatokea tu katika mazingira na muda ambao haukutarajia.
Nimefanya mengi ya kunifurahisa ila naona kabisa nimepungukiwa moyoni mwangu..

Kweli nimepungua naona kabisa wakunijaza nafsi na moyo wangu ni mwanamke tuu..
 
Usiue dhambi jitahidi.kumpa upendo.wa hali ya juu kaka yako pia naye atakupenda yawezekana mmemtenga na dhiki zake
 
Hao wanawake wanaotaka kuolewa wako wapi mkuu.. nielekeze labda mimi nakutana na wasiotaka ndoa ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…