je unajua maana ya ualimu?? kama hujui kwa nini ulienda?? je kwanin hutaki kwenda kufundisha wakati nchi ina upungufu wa waalim? je unataka wanafunzi wafundishwe na nani kama nyie wenye jukumu mnakumbia??habari ndugu zangu wana jf! mimi ni mwanafunz wa mwaka wa 2 chuo cha Ualimu Mororogoro nasomea masomo ya HE(history na kiingereza) natarajia kuhtimu mwakan mwez wa tano! niliingia katka fan hii kutokana na mambo yangu mengne yote kugoma sa naomba kuulza na pengne kupata ushauri je kupitia chet changu cha diproma naweza kupata kaz nyngine tofaut na ualimu! au hata kama ntaendelea mbele kimasomo kupitia chet hcho nkabadili fan na nisiwe mwalimu tena! plz help me! kwa ushauri tu! thanx
unaweza kusoma BACHELOR YA BIZNESS STUDIES NA BA ZA ARTS usijali,,,ukibaki na ualimu hakyamungu utakufa MASKINI
je kupitia chet changu cha diproma naweza kupata kaz nyngine tofaut na ualimu! au hata kama ntaendelea mbele kimasomo kupitia chet hcho nkabadili fan na nisiwe mwalimu tena! plz help me! kwa ushauri tu! thanx
By Rjohn
au hata kama ntaendelea mbele kimasomo kupitia chet hcho nkabadili fan na nisiwe mwalimu tena! plz help me! kwa ushauri tu! thanx
habari ndugu zangu wana jf! mimi ni mwanafunz wa mwaka wa 2 chuo cha Ualimu Mororogoro nasomea masomo ya HE(history na kiingereza) natarajia kuhtimu mwakan mwez wa tano! niliingia katka fan hii kutokana na mambo yangu mengne yote kugoma sa naomba kuulza na pengne kupata ushauri je kupitia chet changu cha diproma naweza kupata kaz nyngine tofaut na ualimu! au hata kama ntaendelea mbele kimasomo kupitia chet hcho nkabadili fan na nisiwe mwalimu tena! plz help me! kwa ushauri tu! thanx
je mishahara ya kazi nyingine za level ya diploma ni kiasi gani?Mshahara wenyewe wa diploma wa mwalimu anayeanza 380,000=