H HarakatiNews JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 218 Reaction score 187 Oct 31, 2015 #1 Kwa wanaohusika na huduma ya search engine optimization seo nina hitaji kuingiza katika SEO maneneo kati ya 30 na 100 kwenye blog yangu naomba kujua Cost zake. Nitajie cost kwa idadi ya maneno husika. nitashukuru. tafadhali taja bei hapa hapa.
Kwa wanaohusika na huduma ya search engine optimization seo nina hitaji kuingiza katika SEO maneneo kati ya 30 na 100 kwenye blog yangu naomba kujua Cost zake. Nitajie cost kwa idadi ya maneno husika. nitashukuru. tafadhali taja bei hapa hapa.
Einsten JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 921 Reaction score 798 Nov 15, 2015 #2 blog inahusika na nn