Habari zenu wana jamvi niko mwanza nataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata kampuni ambayo inauza magari showroom ambapo ntakua naweka Pesa kidogo kidogo hadi ifike kiasi hicho ndo nichukue gari namba yangu 0759212578
Niko Mwanza, nataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata kampuni ambayo inauza magari showroom ambapo ntakua naweka pesa kidogo kidogo hadi ifike kiasi hicho ndo nichukue gari.