Huyo si manzi wala msupuu...huyo ati ni m'boy ka wewe!!!
Mwache atanguliee miguu badala ya kichwaaa,badala ya kuto...m..b Atato........mb......w.... chezeaa fake Id alaaaaa
Mbona ajiita jina la kimbuss ivo? Kwani ni fago?
Nasikia wako romantic na wenye heshima kushinda wakenya. Nataka demu Mtanzania hapa ndani.
mzae hawa wabongo story yao rahisi, akikucheki kwanza na vile maboy wao wengi ni mamwere ata kunoki, alafu cheza na ganji fiti, hata hautamkatia, yeye ndio atakuchinjia.
Hata si fagooo...ni vile anataka mix akili źetu mazee
Kudadekiiii hivi kumbe hata wewe Mwarabu huwa unatoa vitenzi vikurupushi!!!
au unatafuta ardhi
si unajua Kenya ardhi inamilikiwa na wazunguna kina uhuru hivyo wanakuja kwa giaya kuoa ili wapate nafasi ya kumiliki ardhiKivipi mkuu?