Nataka Bunduki, tena machine gun

Labda umiliki gobore, mashine gun bunduki ya kivita Hakuna raia anaeruhusiwa kuimiliki tanzania.
Ndio nataka hiyo sheria iweke hilo?Kwani unaonaje sheria zetu....ufisadi umeruhusiwa?mauaji ya albino yamerusiwa, mauaji ya raia wengine yameruhusiwa?.....kwanini kujilinda kwa uwezo bora kwanini kuwe kugumu kuliko huo uharamia?
 
Kama ni hivyo, basi na wewe tumia panga, ila ujifunze ufundi kwanza.
Hivi kwa akili hii bado unathubutu kujipa mamlak ya kunipotezea muda ktk hili km vile wewe ndio mtoa haki?naweza lima na jembe la mkono ila sitakuwa na advantage km mtu wa trector.Unachosema ni km anayeleta shidano ktk ya mwenye trector na mwenye jembe la mkono,halafu unasema kila mtu atapewa eneo la ardhi atakaloweza lima ktk saa moja.mwenye trector anaweza hana nilima na mimi ktk ardhi.
 
Ndio nataka hiyo sheria iweke hilo?Kwani unaonaje sheria zetu....ufisadi umeruhusiwa?mauaji ya albino yamerusiwa, mauaji ya raia wengine yameruhusiwa?.....kwanini kujilinda kwa uwezo bora kwanini kuwe kugumu kuliko huo uharamia?

Kwahiyo huoni kuwa hao wauaji wa albinos wakiwa na siraha unayotaka uwe nayo ndio itawarahisishia kazi?
 
Kwahiyo huoni kuwa hao wauaji wa albinos wakiwa na siraha unayotaka uwe nayo ndio itawarahisishia kazi?
kwa taarifa yako watakapoua mlio utakaposikika basi raia nao watabeba zao na kuwasiki ktk tukio bila hofu km Sasa?ulishawahi pigia polisi wakati tukio la ujambazi linafanyika?Next time wapigie..tena angalau kuna fire siku hizi .Polisi watakuambia yupo kituoni pekee yake,au hawana gari,na walio doria watauuliza wana silaha?watakajuta kuchukua maiti za wahanga au jambazi km wananchi walifanikiwa wadhibiti.
 
Mwanzoni nilidhani uzi huu umejaa utani bt umejaa hoja za msingi sana.naunga mkono hoja and mtoa hoja you have my thumb up!
 
bungeni leo wanajadili vitu kiaina km vile hawajui kuwa kuna issue ngumu sana ambazo zinatokea ktk janga ila likaleta hatari ya usalama wa nchi
 
huu Uzi ulikua na maana sana kama usingechanganya na viroba kuupost
 
Mwanzoni nilidhani uzi huu umejaa utani bt umejaa hoja za msingi sana.naunga mkono hoja and mtoa hoja you have my thumb up!
Nashukuru..na leo bunge linajadili mswada wa majanga na mengine...Siku watu mtwara mtu unahama na kuwaweka upande wa malawi kwa mwezi mzima halafu inatokea wanashambuliwa na majambazi.hata misaada nayo itahamishwa.
 
Mkuu unataka SMG ukalinde MKOMBOZI BANK?? teh teh teh!!!!
Nataka AK..ili mnapojifanya mnawahi mabikra 72 ktk ganster paradise na kuanza shook watu hovyo.Basi tumalizane tuu kabla hujaenda nyumba mbili.
 
Hawaoni hata mfano tu wa lile kundi la wahuni waliokuwa wanajiita cjui panya rodi, jinsi lilivyokuwa linawalaza wanaume wazima saa 2 tu ucku, sasa je hapo kila mtu angekuwa na ka manati kake ka kizungu kama Uswiss mambo si yangekuwa safi tu
 
Tatizo la MaCCM ynajuana jinsi yalivyo na wendawazimu.Si tunawaona majukwaani.Si tuna akina Kinje,yule mbunge wa Moro,Rage,Dito, malima etc...
 
Wewe ni insane tu
Na wewe ni INSANITY yenyewe.Leo mmechosha sana Lissu na Mkosamali wao wanadhani wanaongea na watu kumbe ni midog tuu imeambiwa isen NDIOOO kwishney.
 
Na wewe ni INSANITY yenyewe.Leo mmechosha sana Lissu na Mkosamali wao wanadhani wanaongea na watu kumbe ni midog tuu imeambiwa isen NDIOOO kwishney.

Mkuu mbona umepanic??

Tunataka topic ya MKOMBOZI BANK mbona huleti? Teh teh teh

Kama wewe jasiri na sio mnafiki lete hoja za kuichimbua mkombozi bank...

Halafu watu unaojaribu kuninasibisha nao ni Kama mbingu na ardhi kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…