babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
- Thread starter
-
- #21
Tafuta basha mwarabu utakua unaenda shopping dubai.
Duh!! Hii kali ya mwaka...mm na pita!!..
nyie mkatisheni tamaa,ila najua humu masunguratope na mabwanyenye ambao mnawakwepa watamtafuta.......wewe babumapunda,unaweza ukampata lakini siku ya kukutana naye ukakimbia mwenyewe
kwani umeambiwa me shoga?
kama natafuta wakunilishd xaiv nalishwa na wewe ama?
ntafutie kazi basi.
Wenzio wanajitahidi kufanya kazi wewe unajifanya bwanyeye na uvivu wako halafu ukale vilivyoandaliwa na mwenzio tena mwanamke mtu mzima? Nenda kwa madheri wako!!! Yaani jitu zima linabaki kuwa Marioooooo wa mujini tu!! Aibu sana!! Tengeneza wewe pesa halafu ita jimama lije kula!! Mkuki kwa nguruwe. Na mimama mmeshazoesha hivi viserengeti boy kuvipa good time sasa vimejenga vibanda na havitaki kuoa kabisa. Maadili yamekwenda wapi? Ningekuwa jimama ningewakomesha siku moja, yaani ninakuchukua halafu natafuta vijana wenzio wajifanye wamenifumania halafu niwaambie wa kuweke sawa kunakotolea ushuzi.umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.
kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.
kama natafuta wakunilishd xaiv nalishwa na wewe ama?
ntafutie kazi basi.
Baada ya kutafuta kazi anawaza kupata Jimama! Mwanaume kama binti ww. Unawatia aibu wanaume wenzio.
Wenzio wanajitahidi kufanya kazi wewe unajifanya bwanyeye na uvivu wako halafu ukale vilivyoandaliwa na mwenzio tena mwanamke mtu mzima? Nenda kwa madheri wako!!! Yaani jitu zima linabaki kuwa Marioooooo wa mujini tu!! Aibu sana!! Tengeneza wewe pesa halafu ita jimama lije kula!! Mkuki kwa nguruwe. Na mimama mmeshazoesha hivi viserengeti boy kuvipa good time sasa vimejenga vibanda na havitaki kuoa kabisa. Maadili yamekwenda wapi? Ningekuwa jimama ningewakomesha siku moja, yaani ninakuchukua halafu natafuta vijana wenzio wajifanye wamenifumania halafu niwaambie wa kuweke sawa kunakotolea ushuzi.
Kijana kaza buti utampata tu....maisha yenyewe mafupi haya!
ok.ulisema huna kazi kumbe ile ya kitandani ndo inakulisha?
ucpite,inaeza kuwa bahati yako
akhaaaa!mi nishabahatika kitambo!
07608]duh,hongera xana