Shomari JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,112 Reaction score 242 Apr 4, 2013 #1 Habari wanajamvi. natafuta wimbo unaoitwa Kibera acha chuki, umeimbwa na kassongo Mpinda kama sikosei. kama kuna mtu anajua tafadhali auweke humu ama aniambie wapi nitaweza kuupata. asanteni sana.
Habari wanajamvi. natafuta wimbo unaoitwa Kibera acha chuki, umeimbwa na kassongo Mpinda kama sikosei. kama kuna mtu anajua tafadhali auweke humu ama aniambie wapi nitaweza kuupata. asanteni sana.